For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

AKINA RONALDO WAONDOLEWA EURO

  mabingwa watetezi wa kombe la mataifa la ulaya EURO2020 ureno wameondolewa katika  hatua ya kumi na sita Bora ya mashindano.  Mara baada y...

 

mabingwa watetezi wa kombe la mataifa la ulaya EURO2020 ureno wameondolewa katika  hatua ya kumi na sita Bora ya mashindano.



 Mara baada ya kuikubali kichapo Cha bao moja kwa bila kutoka kwa timu ya taifa ya ubelgiji Gori lililofungwa na T hazard katika kipindi Cha kwanza Cha mchezo huo.licha ya ureno kuweka jitihada kubwa Sana ya kutaka kusawazisha katika kipindi lakini bado jitihada hizo hazikufua dafu na mpira kumalizika kwa matokeo ya 1-0.Ureno ilifika katika hatua ya kumi na sita Bora kwa best looser Mara baada ya kumaliza hatua ya makundi wakiwa na alama 4 kundi ambalo lilikuwa na timu za ujerumani ufaransa pamoja na Hungary.katika kundi timu zingine zilizofika hatua ya kumi na sita Bora Ni ufaransa aliyemaliza akiwa na alama 5 na ujerumani aliyemaliza akiwa na alama 4


.

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: AKINA RONALDO WAONDOLEWA EURO
AKINA RONALDO WAONDOLEWA EURO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuPmfSu5enuYH-9te0itTV4Tz45icZiZMKUXszcVavB0nMsxjuFGvsg2lCzfC3PuicKzIWuY6zsB0SqEX8UerKldr47TH0CJ57TP5uuUBcyvBIkSGiBPRJGPj0m9ujQBqtvsMupPMVR-7p/w324-h400/IMG-20210628-WA0012.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuPmfSu5enuYH-9te0itTV4Tz45icZiZMKUXszcVavB0nMsxjuFGvsg2lCzfC3PuicKzIWuY6zsB0SqEX8UerKldr47TH0CJ57TP5uuUBcyvBIkSGiBPRJGPj0m9ujQBqtvsMupPMVR-7p/s72-w324-c-h400/IMG-20210628-WA0012.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/akina-ronaldo-waondolewa-euro.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/akina-ronaldo-waondolewa-euro.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy