Michezo #Genk #Fahamuzaidimedia
Klabu ya zamani ya nahodha wa taifa stars MBWANA ALLY SAMMATA KRC GENK imekamilisha dili la kumsajili kinda wa Tanzania Kelvin John 18 kwa mkataba wa miaka minne
Kelvin John ambaye alikuwa katika kikosi Cha under 17 alitakiwa asajiliwe kipindi Cha nyuma lakini kutokana na kutofikisha umri wa miaka 18 klabu hiyo ya KRC GENK ilibidi isubiri Hadi umri wa miaka kumi na nane ulipotimu siku za karibuni
Hata hivo klabu ya GENK imemshukuru Sana mchezaji wao wa zamani MBWANA ALLY SAMMATA kwa kufanikisha dili Hilo huku wakitarajia kuona mafanikio Kama aliyoyapata Kaka yake .
written by Justin Cossan.


COMMENTS