For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

BIDEN KUWALIPA WATAKAOKUBALI KUCHANJWA

  Biden atatoa kiasi cha dola 100 za kimarekani kwa kila mtu atakaye kubali kuchanjwa Rais wa marekani Joe Biden ameahidi kuwalipa wananchi ...


 

Biden atatoa kiasi cha dola 100 za kimarekani kwa kila mtu atakaye kubali kuchanjwa

Rais wa marekani Joe Biden ameahidi kuwalipa wananchi wa majimbo yote kiasi cha dola  100 kwa kila mmoja ambaye atakubali kuchanjwa 

uamuzi huo umekuja Mara baada ya kuonekana kusuasua kwa chanjo kutokana na wananchi kutojitokeza kwa wingi kupokea chanjo hiyo

Biden amesema anafanya hivo ili kuwapa wananchi wake hamasa ya kupokea ili kukulinda na virusi vipya vya Delta ambavyo vimeonekana kusumbua Sana  serikali ya marekani 


Aidha  Biden amesisitiza kuwa wafanya kazi wote wanapaswa kuonyesha uthibitisho wa chanjo Kama sivyo Basi wawekewe vizuizi katika mambo mbalimbali yakiwemo ya usafiri

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: BIDEN KUWALIPA WATAKAOKUBALI KUCHANJWA
BIDEN KUWALIPA WATAKAOKUBALI KUCHANJWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhd8BA8VL697SFd1bSGmQ6gfLSEqZ_EJuWoan0HNkg-eMK5lf8isdR7XE9i36z5K5JHTPl5hF756BMd40ZJrM-keifRIslnFPggLtgg0Fxpu-gwgTdEkR-DIU-EJ-hH9tGTGyIiQGMu1YE/s320/file-20201207-17-r9aoj1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhd8BA8VL697SFd1bSGmQ6gfLSEqZ_EJuWoan0HNkg-eMK5lf8isdR7XE9i36z5K5JHTPl5hF756BMd40ZJrM-keifRIslnFPggLtgg0Fxpu-gwgTdEkR-DIU-EJ-hH9tGTGyIiQGMu1YE/s72-c/file-20201207-17-r9aoj1.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/biden-kuwalipa-watakaokubali-kuchanjwa.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/biden-kuwalipa-watakaokubali-kuchanjwa.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy