Bondia Mtanzania Twaha khasimu almaarufu TWAHA KIDUKU amewataka mapromota wake kuandaa pambano haraka Sana dhidi ya bondia mkongo Tshiman...
Bondia Mtanzania Twaha khasimu almaarufu TWAHA KIDUKU amewataka mapromota wake kuandaa pambano haraka Sana dhidi ya bondia mkongo Tshimanga Katompaa
aliyempigadullah mbabe katika pambano la jumamosi wiki iliyopita
TWAHA KIDUKU amesema anataka kulipa kisasi kwa bondia Mtanzania mwenzake dullaha mbabe Mara baada ya kupokea kichapo na kupoteza pambano kwa points
COMMENTS