Fahamu Zaidi Channel Review: Leo inakuletea Review ya Wimbo wa STAMINA,SHORWEBENZ_FT_BUSHOKE Utakubaliana namimi Tangia Ndoa ya stamina iing...
Fahamu Zaidi Channel Review: Leo inakuletea Review ya Wimbo wa STAMINA,SHORWEBENZ_FT_BUSHOKE Utakubaliana namimi Tangia Ndoa ya stamina iingie doa hali hii imebadirisha sura ya Michano yake. Mashairi yake yamekuwa yaki wachana wanawake hasa kwenyendoa kwakuanza na kibao chake cha Ndoa Katika kibao cha machozi Stamina na Bushoke wamesimulia hadithi yenye kisa cha usaliti kinacho sawiri maisha halishi ya kitanzania , Afrika na Hata dunia kwa ujumla.
Kisa Stamina anampigia simu mshukiwa anae mdhania kuwa yupo na mwenza wake na kumpa michano mikali !! na baadae ana weka nukta kwa kusema anaweka vocha na kupiga kwa mara nyingine simu ile ile ya mtu anae mshuku.
Awamu hii simu inapokelewa na Mke wake hapa anashusha michano tena!! huku nyimbo ikisindikizwa ka chorus kali ya Bushoke Kisa cha nyimbo hii kinahuzunisha ingawa michano ya stamina inakuachia funzo na kukuacha na bumbuanzi.
Link ya nyimbo hii

COMMENTS