For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

BARAZA LA MAWAZIRI DARUSO MLIMANI

#FAHAMUZAIDIMEDIA #DARUSOMLIMANI #UDSM


 Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam Mhe. Godwel Paulo, mnamo
tarehe 06 Juni, 2021 alilihutubia na kulizindua rasmi bunge la DARUSO MLIMANI kwa 

mwaka wa masomo 2021/2022 mnamo saa 7:00 mchana katika ukumbi wa ATB.

Shughuli hii ilihudhuriwa na Ofisi ya mshauri wa wanafunzi mama Paulina Mabuga, 

baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa DARUSO wanaomaliza muda wao wakiongozwa 

na Mhe. Noel Mtafya pamoja na Waziri Mkuu mstaafu ndugu Abdulrahman Makere 

sambamba na wafuatiliaji wa siasa za DARUSO na wanafunzi mbalimbali wa Chuo Kikuu 

cha Dar es Salaam.

Mhe. Rais alitumia fursa hii kutoa shukrani zake za dhati kwa umma wa wanafunzi wote 

wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kumuamini na kumchagua kuwa Rais wa Serikali 

ya Wanafunzi DARUSO MLIMANI na kutoa dira na muongozo wa serikali yake kuwa 

itajikita zaidi katika kuwatumikia wanafunzi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile katika viwango vya hali ya juu zaidi haswa kwa 

kuzingatia vipaumbele vifauatavyo; umoja, amani na usalama, utawala bora, 

ushirikishwaji wa wanafunzi wa uzamili na umahili, sanaa na michezo pamoja na

mahusiano baina ya taasisi za Chuo kikuu cha Dar es Salaam pamoja na zile zilizoko nje 

ya chuo chetu.

Vile vile Mheshimiwa Rais aliwasilisha jina la Waziri Mkuu ambapo ndugu Ridhiwani

Maulid kutoka Ndaki ya Insia (COHU) ambaye pia awali alikuwa ni Mbunge mteule wa 

Rais alipitishwa na bunge kwa asilimia mia moja (100%) kuwa Waziri Mkuu wa serikali 

ya wanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2021/2022. Vile vile mheshimiwa Rais alisisitiza umoja na mshikamano miongoni mwa viongozi wote 

waliopata nafasi ya uwakilishi wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam na 

kuwahimiza kufanya kazi kwa weredi mkubwa na kuwaahidi wana DARUSO wote 

wategemee mambo makubwa na utekelezaji mzuri kutoka katika serikali anayokwenda 

kuiongoza.

Vile vile mheshimiwa Rais alitumia bunge tukufu la DARUSO kutangaza Baraza jipya la 

Mawaziri likijumuisha jina la Katibu Mkuu Kiongozi, mawaziri katika wizara mbalimbali, 

manaibu waziri, makatibu wa wizara pamoja na EX-COMS wa Rais kama ifuatavyo:

1. Mhe. Rais amemteua ndugu Joseph Mathias kuwa Katibu Mkuu kiongozi 

serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (COSS).

2. Mhe. Rais amemteua ndugu Christopher Titus kuwa Waziri, wizara ya

katiba, sheria na utawala bora (UDSOL) ambaye pia ni mbunge mteule wa 

Rais.

3. Mhe. Rais amemteua ndugu Tillya Madeline kuwa Naibu waziri, wizara wa 

katiba, sheria na utawala bora (UDSOL).

4. Mhe. Rais amemteua ndugu Simbila Dani kuwa Waziri, wizara ya Elimu 

(COHU).

5. Mhe. Rais amemteua ndugu Alphonsina Ambrose kuwa Naibu waziri, 

wizara ya elimu (IKS).

6. Mhe. Rais amemteua ndugu Nirabi Absalom kuwa Katibu wizara ya Elimu 

(CONAS).

7. Mhe. Rais amemteua ndugu Miseyeki Kijana kuwa Waziri, wizara ya 

Mikopo (COSS) ambaye pia ni mbunge mteule wa Rais.

8. Mhe. Rais amemteua ndugu Mwandu Geofrey kuwa Naibu waziri, wizara 

ya mikopo (COAF).

9. Mhe. Rais amemteua ndugu Kereto Oinoti kuwa Katibu wizara ya mikopo 

(COHU).

10.Mhe. Rais amemteua ndugu Otieno Evance kuwa Waziri, wizara ya Fedha 

na uwekezaji (CONAS).

11.Mhe. Rais amemteua ndugu Ziwiyani Aman kuwa Naibu waziri, wizara ya

Fedha na uwekezaji (UDBS).

12.Mhe. Rais amemteua ndugu Kishasha Ashrafu kuwa Waziri, wizara ya Afya 

na cafeteria (SOED) ambaye pia ni mbunge mteule wa Rais.

13.Mhe. Rais amemteua ndugu Umwelu Mohammed kuwa Naibu waziri, 

wizara ya Afya na cafeteria (CONAS).

14.Mhe. Rais amemteua ndugu Aman Abraham kuwa katibu wizara ya afya na 

cafeteria (UDSOEC).

15.Mhe. Rais amemteua ndugu Mohamed Mahmud kuwa Waziri, wizara ya

Ulinzi na usalama (IDS).

16.Mhe. Rais amemteua ndugu Mangula Philipo kuwa Naibu waziri, wizara ya 

ulinzi na usalama (SOAF).

17.Mhe. Rais amemteua ndugu Munira Ally kuwa Waziri, wizara ya Habari, 

jumuiya ya wanafunzi na mambo ya nje (COICT).

18.Mhe. Rais amemteua ndugu Tandika Robert kuwa Naibu waziri, wizara ya 

habari, jumuiya ya wanafunzi na mambo ya nje (SJMC).

19.Mhe. Rais amemteua ndugu Lopa Christantus kuwa Waziri, wizara ya 

michezo na burudani (SOED).

20.Mhe. Rais amemteua ndugu Mlay Brighton kuwa Naibu waziri, wizara ya 

michezo na burudani (COET).

21.Mhe. Rais amemteua ndugu Chimwenda Wilson kuwa katibu wizara ya 

michezo na burudani (COHU-Creative Arts).

22.Mhe. Rais amemteua ndugu Dorcas Gwilenza kuwa Waziri, wizara ya jinsia 

na makundi maalum (COHU) ambaye awali alikuwa ni mbunge mteule wa 

Rais.

23.Mhe. Rais amemteua ndugu Shinon Muhoja kuwa Naibu waziri, wizara ya 

jinsia na makundi maalum (CONAS).

24.Mhe. Rais amemteua ndugu Rutayuga Prosper kuwa Waziri, wizara ya 

usafirishaji na miundombinu (COET).

25.Mhe. Rais amemteua ndugu Mpumpa Jackson kuwa Naibu waziri, wizara ya 

usafirishaji na miundombinu (SOMG).

26.Mhe. Rais amemteua ndugu Masiko Daniel kuwa Waziri, wizara ya maji, 

malazi na mazingira (IKS).

27.Mhe. Rais amemteua ndugu Abdallah Husna kuwa Naibu waziri, wizara ya 

maji, malazi na mazingira



Mh.Raid Godwell Watatu kutoka kulia akifatiwa na makamu Rais


(COSS).

28.Vile vile Mhe. Rais amemteua ndugu Masanja Alphayo kuwa Mwakilishi wa 

wanafunzi wanaoishi nje ya chuo yaani OFF-CAMPUS.

Uteuzi huu ulianza rasmi jana tarehe 06 Juni, 2021 na tayari washaapishwa rasmi kwa 

majukumu ya kuwatumikia wan


COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: BARAZA LA MAWAZIRI DARUSO MLIMANI
BARAZA LA MAWAZIRI DARUSO MLIMANI
#FAHAMUZAIDIMEDIA #DARUSOMLIMANI #UDSM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRqbqoxLjiP_xNQ_93HrU530lRncZBJdzxBztm1aQIQhY1kf1fEegkZ4aMoC58gqbNoriMdhLBLex2CC_U5ie-mqTFYfa8L8a74K6yE5U6ixRKVXU_kunzUp3-2rLHEltint0bPIWcx0OK/s320/Bunge+UDSM+23.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRqbqoxLjiP_xNQ_93HrU530lRncZBJdzxBztm1aQIQhY1kf1fEegkZ4aMoC58gqbNoriMdhLBLex2CC_U5ie-mqTFYfa8L8a74K6yE5U6ixRKVXU_kunzUp3-2rLHEltint0bPIWcx0OK/s72-c/Bunge+UDSM+23.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/baraza-la-mawaziri-daruso-mlimani.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/baraza-la-mawaziri-daruso-mlimani.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy