Mwanasheria Mkuu wa Serikali, #MerrickGarland amemteua Mchunguzi maalumu kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, #MerrickGarland amemteua Mchunguzi maalumu kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya Rais Biden yaliyoko #Wilmington, Delaware
Aidha, atachunguza tukio la awali la kukutwa kwa nyaraka kama hizo za siri katika ofisi ya Rais Joe isiyokuwa na ulinzi iliyoko mjini #Washington. Nyaraka hizo zinasadikika zilikuwepo kwenye ofisi hiyo tangu Biden alipokuwa Makamu wa Rais.
Kwa taarifa zaidi Tunapatikana Youtube kama fahamuzaidichannel.


COMMENTS