For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

ITALIA HAO FAINALI EURO2020

Hii Ni Mara baada ya kumtoa hispania kwa mikwaju ya penati  Ilikuwa Kama masihara lakini ndo ikawa kweli.Ndiyo Italia Sasa wametinga fainali...




Hii Ni Mara baada ya kumtoa hispania kwa mikwaju ya penati


 Ilikuwa Kama masihara lakini ndo ikawa kweli.Ndiyo Italia Sasa wametinga fainali katika kombe la EURO 2020 Hii Ni marabaada ya kuibuka na ushindi katika  mchezo wa nusu fainali dhidi ya Hispania.Mchezo huo uliolazimika kuamuliwa kwa mikwaju ya penati Mara baada ya dakika 120 kutotoa mshindi wa kutinga fainali. Dakika 90 zilikamilika kwa matokeo ya 1-1 licha ya kuongezwa dakika 30 lakini bado ngoma haikutikisika  Hadi pale yalipoamuliwa matuta .Hispania walikosa mikwaju miwili ya penati na kufanya  mchezo kuisha kwa penati 4-2.Sasa Italia inasubili nusu Fainali ya pili Kati ya England na Denmark ili kujua Nani wa kucheza nae fainali

JE NI DENMARK AU  ENGLAND  Nani atakutana na Italia  Fainali

Euro2020 on fire 🔥 🔥 🔥

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: ITALIA HAO FAINALI EURO2020
ITALIA HAO FAINALI EURO2020
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglejlvQy_9j_TgciQH26dfluq0_t-EWmk_fh_nWmVQFdu9YBPQcxKYTyL69rEtC5zgwUDjf92l6UTF_5i6DDoa4OFcjmXs6QFDmI9RqletlVssgq2k-DHAQ6Bvwgd3x9e3RxqyRI65PbE/s320/58183228_303.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEglejlvQy_9j_TgciQH26dfluq0_t-EWmk_fh_nWmVQFdu9YBPQcxKYTyL69rEtC5zgwUDjf92l6UTF_5i6DDoa4OFcjmXs6QFDmI9RqletlVssgq2k-DHAQ6Bvwgd3x9e3RxqyRI65PbE/s72-c/58183228_303.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/italia-hao-fainali-euro2020.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/italia-hao-fainali-euro2020.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy