ARSENAL #Fahamuzaidimedia
klabu ya arsenal yazidi kuongeza Kasi ya kumchukua mlinzi wa klabu ya Brighton Ben White 23 Mara baada ya kuendelea kupiga hatua katika mazungumzo ya mkataba wa mlinzi huyo wauingereza
Arsenal inatakiwa kuvunja mkataba wa Ben White ambao unakadiliwa kuwa na thamani ya zaidi ya pauni million 50
by Justine Cossan

COMMENTS