For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

Rais Rouhani asema Iran ni nchi ya kwanza duniani kwa kusambaza gesi maeneo mengi nchini

Fahamu zaidi media #Raisi #Mahamuzaidichanel


 Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ni ya kwanza duniani kwa mafanikio ya kusambaza gesi katika kila kona ya nchi kwa ajili ya matumizi ya watu wake.

Rais Hassan Rouhani amesema hayo leo kwenye sherehe za kuzindua miradi ya taifa ya mafuta humu nchini zilizofanyika kwa njia ya video na kuongeza kuwa, kasi ya usambazaji gesi katika vijiji na miji ya Iran kwenye kipindi cha miaka minane iliyopita imeongezeka mara tano na sasa hivi Iran inahesabiwa ni nchi ya kwanza duniani katika jambo hilo.

Rais wa Rouhani amegusia pia juhudi za wataalamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kufikisha na kudhamini gesi katika kila kona ya miji na vijiji humu nchini na kusisitiza tena kwa kusema, kiutaalamu na katika upande wa usambazaji gesi, mashirika ya kimataifa yanaitambua Iran kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kwa kuwafikishia gesi ya matumizi wananchi wake walioko hata maeneo ya mbali ya miji na vijiji

Miongoni mwa miradi ya taifa iliyozinduliwa leo na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni kukamilika zoezi la kufikishwa gesi kwenye miji 21, vijiji elfu mbili na 809 na maeneo 664 ya viwandani katika kona mbalimbali za Iran.

Miradi yote hiyo imefunguliwa rasmi na Rais Rouhani kwa njia ya video, leo Alkhamisi na imeanza kufanya kazi.

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: Rais Rouhani asema Iran ni nchi ya kwanza duniani kwa kusambaza gesi maeneo mengi nchini
Rais Rouhani asema Iran ni nchi ya kwanza duniani kwa kusambaza gesi maeneo mengi nchini
Fahamu zaidi media #Raisi #Mahamuzaidichanel
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzwrJev4lPZumHc-LdeDpwgwrpebgRWD__85tBRyToxR3erXeoc0nkZww3xxxgCC44gZe2achuuGRf2E-uB1WaGLCP8uUoAW6sK0mjWQKdQyuG1JFkX7nPuPQIlSnRCvpLQu0JFDz2QxW0/s320/4by2eb4dd08e6f1wa6i_800C450.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzwrJev4lPZumHc-LdeDpwgwrpebgRWD__85tBRyToxR3erXeoc0nkZww3xxxgCC44gZe2achuuGRf2E-uB1WaGLCP8uUoAW6sK0mjWQKdQyuG1JFkX7nPuPQIlSnRCvpLQu0JFDz2QxW0/s72-c/4by2eb4dd08e6f1wa6i_800C450.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/rais-rouhani-asema-iran-ni-nchi-ya.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/rais-rouhani-asema-iran-ni-nchi-ya.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy