For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

UHOLANZI YAAGA RASMI MASHINDANO YA EURO

  Timu ya taifa ya uholanzi imeondolewa katika mashindano ya Mataifa ya ulaya usiku wa jana mara baada ya kupokea kichapo cha mabao mawili k...

 



Timu ya taifa ya uholanzi imeondolewa katika mashindano ya Mataifa ya ulaya usiku wa jana mara baada ya kupokea kichapo cha mabao mawili kutoka kwa Czech republic.

mchezo huo ambao kipindi cha kwanza kilimalizika kwa timu zote kutoshana nguvu bila ya kufungana.kpindi cha pili kilianza kwa kasi na klabu ya uholanzi kupata pigo mara baada ya mchezaji wao  delight kuonyesha kadi nyekundu katika dakika ya 55 hali iliyoifanya uholanzi izidi kulemewa na kunako dakika ya 68 Thomas holes wa Czech aliipatia timu bao la kuongoza na dakika ya 80 Czech ilipata bao la pili kupitia mchezaje wake Schick  na kuwaondoa kabisa uholanzi mashindanoni.kwa hivyo Czech watakutana na Denmark katika hatua ya robo fainali.



COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: UHOLANZI YAAGA RASMI MASHINDANO YA EURO
UHOLANZI YAAGA RASMI MASHINDANO YA EURO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmoUDUGzhe8GIX22ZUQW3Gbbhf9ZP_scjrag6v92zx-IyDWn2FtSArkNM2GuerGOqHyJ36yyn_Rp_h_Tfab2VQhhFnsyy-GAYGIKfR8RMNz1MW0y0rpxZtnF9x5lpVRhnG5HokXj8L8el9/s320/IMG-20210628-WA0011.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmoUDUGzhe8GIX22ZUQW3Gbbhf9ZP_scjrag6v92zx-IyDWn2FtSArkNM2GuerGOqHyJ36yyn_Rp_h_Tfab2VQhhFnsyy-GAYGIKfR8RMNz1MW0y0rpxZtnF9x5lpVRhnG5HokXj8L8el9/s72-c/IMG-20210628-WA0011.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/uholanzi-yaaga-rasmi-mashindano-ya-euro.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/06/uholanzi-yaaga-rasmi-mashindano-ya-euro.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy