Mzee ambilikile mwasapile maarufu Kama Babu wa loliondo amefariki dunia mchana wa leo wakati alipokuwa akipatiwa matibabu Mzee huyo inase...
Mzee ambilikile mwasapile maarufu Kama Babu wa loliondo amefariki dunia mchana wa leo wakati alipokuwa akipatiwa matibabu
Mzee huyo inasemekana alikuwa anaumwa kwa muda mrefu lakini alikuwa akitumia dawa za miti na Mara baada ya kuzidiwa ndipo alipopelekwa hospital Hadi umauti unamkuta
Mzee huyo alikuwa maarufu Mara baada ya kugundua dawa ya ukimwi iliyokuwa ikijaza watu wengi Sana mkoani Arusha
Pumzika kwa amani mzee wetu

COMMENTS