Mchezaji kinda wa Tanzania Kelvin John jana alianza mechi yake ya kwanza na kupachika bao kwa mara ya kwanza akiwa na uzi wa Genk. Licha ya...
Mchezaji kinda wa Tanzania Kelvin John jana alianza mechi yake ya kwanza na kupachika bao kwa mara ya kwanza akiwa na uzi wa Genk. Licha ya kuanzia ya benchi mchezaji huyo aliingia katika dakika za mwisho lakini aliiwezesha kuifungia timu yake bao katika ushindi wa 8-1 walioupata.kelvin john alijiunga na GENK akitokea katika academy ya leceister city ya England na kusaini mkataba wa miaka minne.mwanzo huo umewapa nguvu na matumaini makubwa watanzanzania kuwa ataweza kufanya Zaidi ya alichofanya MBWANA SAMMATA ambaye alllicheza timu hiyo kabla ya kusajiliwa na aston villa na sasa fernabache ya uturuki
JE ATAWEZA KUWA ZAIDI YA SAMMATA?

COMMENTS