For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

HUKO UFARANSA SASA MAMBO SI SHWARI

Hii ni mara baada ya kutolewa kwenye mashindano ya EURO20 katika hatua ya kumi na sita bora dhidi ya swazirland na kushindwa kutinga hatua  ...

Hii ni mara baada ya kutolewa kwenye mashindano ya EURO20 katika hatua ya kumi na sita bora dhidi ya swazirland na kushindwa kutinga hatua  ya robo fainali


 Wachezaji wa timu ya taifa ya ufaransa wameonekana wakiingia katika marumbano  mara baada ya kuaga mashindano ya EURO2020 ikidaiwa kuwa mchezaji Kylian mbappe ambaye  alikosa mkwaju wa penati katika mtanange dhidi ya swazirland na kuwakosesha nafasi ufaransa katika katika hatua ya robo fainali amedaiwa kuingia katika marumbano na mchezaji  mwenza antoine  Griezman huku sababu ikidaiwa  kuwa ni wivu .kinachoelezwa ni kwamba  antoine griezman ni maarufu sana katika taifa lake kuliko kylan mbappe hali ambayo inaibuwa mtafaruku baina ya wachezaji hao.kabla ya hapo siku za karibuni mbappe alidaiwa kuingia katika marumbano na oliver Giroud.sanjari na hilo pia imedaiwa kuwa   kiungo wa timu hiyo  paul pogba naye yupo katika marumbano na  kiungo mwenzie Adrien Rabiot katika vyumba vya kubadilishia nguo katika baadhi ya mechi walizokuwa wakicheza, na sio kwa wachezaji tu lakini pia hata baadhi ya wazazi wa wachezaji timu hiyo wameonekana wakiingia katika marumbano wakati wanatazama Watoto wao wanachofanya uwanjani



COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: HUKO UFARANSA SASA MAMBO SI SHWARI
HUKO UFARANSA SASA MAMBO SI SHWARI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV5nj-o7viyuoAETHCOxugeL6OI74Qd0ePrSrVOf3oS_MxG1k0iG4YXvCSUo8CKe0TAy9bnB_fxQSrAVxZ5mEJLU3ZvmWyCCHWTFCoARvKzuAXHC0UK4_oEznj6zAF9t7OO5z8sD6O7wQB/s320/IMG-20210704-WA0017.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjV5nj-o7viyuoAETHCOxugeL6OI74Qd0ePrSrVOf3oS_MxG1k0iG4YXvCSUo8CKe0TAy9bnB_fxQSrAVxZ5mEJLU3ZvmWyCCHWTFCoARvKzuAXHC0UK4_oEznj6zAF9t7OO5z8sD6O7wQB/s72-c/IMG-20210704-WA0017.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/sasa-copa-america-imefikia-patamu.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/07/sasa-copa-america-imefikia-patamu.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy