Sasa imefikia hatua ya nusu fainali huku hamu ya fainali ikizidi kutawala akilini mwa watu , ikionekana kuzikutanisha BRAZIL na ARGENTINA f...
Sasa imefikia hatua ya nusu fainali huku hamu ya fainali ikizidi kutawala akilini mwa watu , ikionekana kuzikutanisha BRAZIL na ARGENTINA fainali
COPA amerika sasa imefikia patamu mara baada ya kumarizika kwa hatua ya robo fainali kwa michezo miine kuchezwa ndani ya wiki hii na kutoa timu nne zilizotinga hatua ya nusu fainali .Timu hizo ni
BRAZIL,
PERU,
COLOMBIA
ARGENTINA.
Michezo ya nusu fainali itazikutanisha
BRAZIL VS PERU
ARGENTINA VS COLOMBIA
JE fainali itawakutanisha nani na nani? Je kuna uwezekano wa messi na Neymar kukutana fainali?
SASA COPA AMERICA ON FIRE

COMMENTS