Timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 wameibuka mabingwa katika kombe la CECAFA challenge cup Mara baada ya kuichapa timu ya ...
Timu ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 wameibuka mabingwa katika kombe la CECAFA challenge cup Mara baada ya kuichapa timu ya taifa ya Burundi u_23 kwa mikwaju ya penati 5-6
Mashindano hayo yaliyokuwa yakifanyika katika nchi ya ETHIOPIA
ambapo Tanzania ilitinga Fainali Mara baada ya kuichapa sudani kusini kwa bao moja bila huku Burundi ikishinda dhidi ya Kenya
Katika upande mwingine timu ya taifa ya sudani kusini iliibuka kuwa washindi wa tatu hapo Jana maraa baada ya kuichapa kenya kwa bao moja dakika za jioni kabisa

COMMENTS