hii Ni Mara baada ya ushindi mwembamba 1-0 dhidi ya peru Timu ya taifa ya Brazil imetinga fainali katika kombe la Copa America Mara ...
hii Ni Mara baada ya ushindi mwembamba 1-0 dhidi ya peru
Timu ya taifa ya Brazil imetinga fainali katika kombe la Copa America Mara baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila dhidi ya Peru katika mtanange uliochezwa usiku wa leo .
Brazil ilipata Goli kupitia kwa mchezaji wake Lucas paqueta Mara baada ya kupokea pasi kutoka kwa mchezaji machachari Neymar na kuiwezesha Brazil kutinga fainali.
Brazil Sasa inasubiria nusu fainali ya pili itayochezwa kesho Kati ya Argentina dhidi ya Colombia ili kujua Nani atacheza naye fainali.
JE Ni Argentina au Colombia nani kukutana na Brazil kesho tutafahamu zaidi

COMMENTS