*Jeshi la polisi mkoani Pwani linamshikilia Anthony lugendo miaka 34 mkazi wa moandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike mwenye...
*Jeshi la polisi mkoani Pwani linamshikilia Anthony lugendo miaka 34 mkazi wa moandizi kwa kosa la kumdhalilisha mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu kwa kumchezea chezea sehemu za Siri.
Mtuhumiwa huyo alikutwa chumbani kwake akiwa amemvua nguo zote huku akimchezeachezea mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa chekechea.
Kamanda wa polisi mkoani humo WANKYO NYIGESA amesema upelelezi unaendelea na hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.*

COMMENTS