Klabu ya mpira ya Azam imefanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya kombe la la shirikisho Mara baada ya kuichapa klabu ya horseed ya nchini S...
Klabu ya mpira ya Azam imefanikiwa kutinga raundi ya kwanza ya kombe la la shirikisho Mara baada ya kuichapa klabu ya horseed ya nchini Somalia bao moja na kufanya matokeo kuwa 4-1
Mchezo uliopita Azam fc waliibuka na ushindi wa bao 3-1
Sasa Azam watakutana na klabu ya pyramids ya nchini misri katika mchezo wa raundi ya kwanza

COMMENTS