For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

HUKUMU YA MORRISON YAZIDI KUPIGWA KALENDA

 Mahakama ya usuluhishi ya shirikisho la soka duniani CAS wameeahirisha kutoa uamuzi wa kesi ya yanga dhidi ya Morrison   Hadi tarehe 26 okt...


 Mahakama ya usuluhishi ya shirikisho la soka duniani CAS wameeahirisha kutoa uamuzi wa kesi ya yanga dhidi ya Morrison   Hadi tarehe 26 oktoba.
  Aidha uamuzi huo awali ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 September kabla ya kuaihirishwa  na kupekwa mbele  akizungumza na waandishi wa habari
 mmoja wa mawakili  wanaoiwakilisha yanga CAS ALEX MGONGOLWA amesema kuwa amepokea taarifa hiyo kutoka CAS kuwa maamuzi ya kesi yao kutolewa oktoba 26
  "siku zote ukiona hukumu inasogezwa  mbele  hivo Basi mleta  shauri ana hoja ndio Mana  inakuwa hivo kwa hiyo tunaendelea kusubilia"  alisema Alex

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA: HUKUMU YA MORRISON YAZIDI KUPIGWA KALENDA
HUKUMU YA MORRISON YAZIDI KUPIGWA KALENDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1vC2yL8ZATyhS_tc9xlfT-yYEnYR_SQUuJReTEPN75ToD5E74dusl6JZaK0gdJIdfYdiTa72opdFSXqy-xh82-N3cO2CwkvxhhqR7O-3n13WEku3MrQzfKzeIivL3sK4YSlD2cAU2uk4/s320/cas-pic.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1vC2yL8ZATyhS_tc9xlfT-yYEnYR_SQUuJReTEPN75ToD5E74dusl6JZaK0gdJIdfYdiTa72opdFSXqy-xh82-N3cO2CwkvxhhqR7O-3n13WEku3MrQzfKzeIivL3sK4YSlD2cAU2uk4/s72-c/cas-pic.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/09/hukumu-ya-morrison-yazidi-kupigwa.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2021/09/hukumu-ya-morrison-yazidi-kupigwa.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy