Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba na Azam fc Joseph omog anatajwa kuanza safari yake Leo jumamosi kutoka cameroon kuja I kukamilisha tarat...
Aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba na Azam fc Joseph omog anatajwa kuanza safari yake Leo jumamosi kutoka cameroon kuja I kukamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya mtibwa sugar ya mkoani morogoro.
Taarifa za uhakika Ni kwamba viongozi wa mtibwa wameafikiana na sifa za omog na anatarajiwa kutua nchini kesho jumapili.
Omog anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili na wakata miwa hao ili kurithi mikono ya thiery Hitimana aliyetimkia Simba baada ya kupewa ofa nono.

COMMENTS