Baada ya miaka mingi kupita CKD imepata Waziri mkuu Mwanamke wa kwanza 2022 Imechukua muda wa zaidi ya Miongo Mitano tangia historia ya Msi...
Baada ya miaka mingi kupita CKD imepata Waziri mkuu Mwanamke wa kwanza 2022
Imechukua muda wa zaidi ya Miongo Mitano tangia historia ya Msingi wa chuo kikuu cha dar es salaam kusimikwa Afrika mashariki . Jun 4 2022 Magret Amepokea Teuzi kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaaam .
Ikumbukwe mpaka sasa historia inaandikwa na wanawake wa wili ma super woman akiwem Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na huyu Waziri mkuu wa kwanza serikali ya wanafunzi wa CKD .
Fahamuzaidichannel Imezungumza naeili kuweza kufahamu historia yake ya uongozi ,Namna alivyo pokea uteuzi na changamoto kubwa ya wanawake kuchukuliwa kama kiumbe dhaifu nayeye alikuwa na haya ya kusema .
Fahamuzaidichannel Wemake the World a better Place
COMMENTS