Picha:Washindi wa Tuzo za Thamani yangu children Talents discovery wakiwa na wazazi wao Jun 2022. Jamii inauhitaji wa watu ambao niz...
Jamii inauhitaji wa watu ambao nizaidi ya wazazi …Itachukua muda mrefu sana kwa Tanzania kuwa na kizazi chenye usawa na kinacho tambua haki na usawa bila kujali umri jinsi au kabila .
Slvia ni Bint ambaye kwasasa amefanya kampeni nyingi na kuandika machapisho mengi yanayo husu haki na tajiriba za msingi kwa watoto ingawa amekuwa akikutana na changamoto nyingi hususa ni za kiuchumi ambazo zinaweka ukuta adhma yake ya kulifikia taifa zima la tanzania …
Akizungumza na fahamu zaidi channel ameeleza mengi sana sambamba na kufafanuaa umuhimu wa haki za watoto kqenye jamii ikiambatana na maono yake kwa jamii ijayo .Ikumbukwe yeye ndio muasisi wa taasisi ya Thamaniyangu ……
Kwa hayo na mengine mengi usiache ku bofya link hapo juu ili utazame ,ujifunze bila kusahau ku like na ku komment sambamba na ku subscribe kama bado …
FahamuZaidichannel We make the world a better place

COMMENTS