For minds that question, explore, and want more. We go beyond the surface to bring you facts, context, and clarity. Welcome to the truth zone. #FahamuZaidi

Taasisi ya They Need Us Inakuletea usiku Wa movie Itakayo fanyika #Cinemax_Mlimanicity Dsm Tarehe 27 mwezi wa kwanza Mwaka 2023.  Inawezekan...




Taasisi ya They Need Us Inakuletea usiku Wa movie Itakayo fanyika #Cinemax_Mlimanicity Dsm Tarehe 27 mwezi wa kwanza Mwaka 2023. 


Inawezekana Mwaka 2023 Hafla hii ikafanyika zaidi ya mara moja na kutengeneza sura mpya ambayo haijazoeleka hapo  awali.

Mwaka 2022 Hafla hii haikufanyika kwasababu ambazo taasisi hiyo ilidai kuwa nje ya uwezo wake huku mwaka 2021 ikifanikiwa kufanya hafla na mikutano mbali mbali Kwanjia ya mtandao na Kubwa Kuliko ni They Need Us come together Charity Ambayo wadau Mbali mbali walifanikiwa kutazama movie ya Black widow 




Come Together Charity Huunganisha Wadau mbali mbali  kutoka serikalini na Asasi Binafsi na za kiraia huku lengo ni kukutana pamoja kwa movie na kukusanya Mchango wa Kusaidia wahitaji.


Mwaka 2021 They Need Us ililiangalia Kundi la Yatima na kwa mwaka huu Taasisi hiyo imeelekeza jicho pevu kwa watu (wanafunzi) wenye uoni Afifu.


Akizungumza na #fahamuzaidichannel @fahamu_zaidi_chanell  Mkurungenzi wa @TheyNeedusInitiative Charles Michael Anesema Maono yake nikuona Taasisi hiyo Inaaminiwa na Serikali kitaifa na Kimataifa kuandaa makongamano makubwa ya kimataifa yenye lengo la kumuinua kijana kujitambua katika katika nyanja zote za maisha.



Aidha Ametoa wito kwa Taasisi , Makampuni na Asasi mbali Mbali kuungana naa They Need Us katika kuirudishia fadhira jamii kwenye kundi hili la wahitaji sambamba na kueleza kuwa hadi kufikia leo Kazi hii wanaifanya bega kwa bega na @Rasherd_Ceramic wataalamu wanao jihusisha na Vifaa vya ujenzi.


Fahamuzaidi channel itaendelea kukuletea exclusive zote kuanzia maandalizi Mpaka Red Carpet #wake the world a better Place.


Tunapatikana Mtandaona kama Fahamu Zaidi channel

Bonyeza hapa kujiunga na Fahamuzaidi Tiv

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

#Theyneedusinitiative #wasafitv #Theyneeduscometogethercharity #Uwezoawards2023 #ghf #Fahamuzaidichannel #Zuchu #Diamondplatnumz #Harmonize #udsm #Ifm #Nit #Updates #thefact. #Love #huyuhapa #mpenjatv

COMMENTS

Name

campus life.,3,Habari,11,kimataifa,4,Kitaifa,3,Makala,2,Michezo,14,Sports & Artist,11,
ltr
item
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNuEp0gks0pRqG8BfnLUskXIIRN9XPMNUqAw-yiyACsQKcRCu_FPFofdzrLkV-snSTU1PSFVIeQ2WdbA3ngo6_QFO4VmrYR81bmZetnxwO3LUvEpCy-2Yl4LJ5UQ0OkXFDVmJcsrsRSHxD_PjJbdowbSM0uyUa8Ma8_hNY2B_94urCAEvVHHc1GmXFJQ/s320/IMG-20230113-WA0185.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNuEp0gks0pRqG8BfnLUskXIIRN9XPMNUqAw-yiyACsQKcRCu_FPFofdzrLkV-snSTU1PSFVIeQ2WdbA3ngo6_QFO4VmrYR81bmZetnxwO3LUvEpCy-2Yl4LJ5UQ0OkXFDVmJcsrsRSHxD_PjJbdowbSM0uyUa8Ma8_hNY2B_94urCAEvVHHc1GmXFJQ/s72-c/IMG-20230113-WA0185.jpg
FAHAMU ZAIDI MEDIA
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2023/01/taasisi-ya-they-need-us-inakuletea.html
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/
https://fahamuzaidimedia.blogspot.com/2023/01/taasisi-ya-they-need-us-inakuletea.html
true
8412271387195166015
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy